Mathayo 24:18-20
Mathayo 24:18-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Aliye shambani asirudi nyuma kuchukua vazi lake. Ole wao kina mama waja wazito na wanaonyonyesha siku hizo! Ombeni ili kukimbia kwenu kusiwe siku za baridi au siku ya Sabato!
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:18-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala aliye shambani asirudi nyuma kuichukua nguo yake. Ole wao wenye mimba na wanyonyeshao siku hizo! Ombeni, ili kukimbia kwenu kusiwe wakati wa baridi, wala siku ya sabato.
Shirikisha
Soma Mathayo 24