Mathayo 24:1
Mathayo 24:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alitoka hekaluni, na alipokuwa akienda zake, wanafunzi wake walimwendea, wakamwonesha majengo ya hekalu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24Mathayo 24:1 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akaenda zake, akatoka hekaluni; wanafunzi wake wakamwendea ili kumwonesha majengo ya hekalu.
Shirikisha
Soma Mathayo 24