Mathayo 22:7-8
Mathayo 22:7-8 Biblia Habari Njema (BHN)
Yule mfalme akakasirika, akawatuma askari wake wakawaangamize wauaji hao na kuuteketeza mji wao. Kisha akawaambia watumishi wake: ‘Karamu ya harusi iko tayari kweli, lakini walioalikwa hawakustahili.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:7-8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi yule mfalme akaghadhibika; akatuma majeshi yake, akawaangamiza wauaji wale, akauteketeza mji wao. Kisha akawaambia watumwa wake, Arusi iko tayari, lakini wale walioalikwa hawakustahili.
Shirikisha
Soma Mathayo 22