Mathayo 22:37-38
Mathayo 22:37-38 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’. Hii ndiyo amri kuu na ya kwanza.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:37-38 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:37-38 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.
Shirikisha
Soma Mathayo 22