Mathayo 22:37
Mathayo 22:37 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na kwa akili yako yote’.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:37 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:37 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akamwambia, Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, na kwa roho yako yote, na kwa akili zako zote.
Shirikisha
Soma Mathayo 22