Mathayo 22:29
Mathayo 22:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawajibu, “Nyinyi mmekosea kwa sababu hamjui Maandiko Matakatifu wala nguvu ya Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:29 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akajibu, akawaambia, Mnapotea, kwa kuwa hamyajui maandiko wala uweza wa Mungu.
Shirikisha
Soma Mathayo 22