Mathayo 22:17
Mathayo 22:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Haya, tuambie maoni yako. Je, ni halali au la, kulipa kodi kwa Kaisari?”
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi utuambie, Waonaje? Ni halali kumpa Kaisari kodi, ama sivyo?
Shirikisha
Soma Mathayo 22