Mathayo 22:1-2
Mathayo 22:1-2 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alisema nao tena kwa kutumia mifano: “Ufalme wa mbinguni umefanana na mfalme aliyemwandalia mwanawe karamu ya harusi.
Shirikisha
Soma Mathayo 22Mathayo 22:1-2 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Yesu akajibu, akawaambia tena kwa mifano, akisema, Ufalme wa mbinguni unafanana na mfalme mmoja aliyemfanyia mwanawe arusi.
Shirikisha
Soma Mathayo 22