Mathayo 2:9-10
Mathayo 2:9-10 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kumsikiliza mfalme, hao wataalamu wa nyota wakaenda. Kumbe ile nyota waliyokuwa wameiona upande wa mashariki iliwatangulia hata ikaenda kusimama juu ya mahali pale alipokuwa mtoto. Walipoiona hiyo nyota, walifurahi mno.
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:9-10 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, mpaka iliposimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto. Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:9-10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nao waliposikia maneno ya mfalme, walishika njia; na tazama, ile nyota waliyoiona mashariki ikawatangulia, hata ikaenda ikasimama juu ya mahali alipokuwapo mtoto. Nao walipoiona ile nyota, walifurahi furaha kubwa mno.
Shirikisha
Soma Mathayo 2