Mathayo 2:8
Mathayo 2:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akawatuma Bethlehemu akisema, “Nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto huyo. Mkisha mpata nileteeni habari ili nami niende kumwabudu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawatuma Bethlehemu, akasema, Nendeni mkachunguze kwa makini habari za mtoto; na mkiisha kumwona, nileteeni habari, ili mimi nami niende nimsujudie.
Shirikisha
Soma Mathayo 2