Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mathayo 2:4 - Compare All Versions

Mathayo 2:4 BHN (Biblia Habari Njema)

Basi, akawaita pamoja makuhani wakuu wote na waalimu wa sheria, akawauliza, “Kristo atazaliwa wapi?”

Shirikisha
Mathayo 2 BHN

Mathayo 2:4 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?

Shirikisha
Mathayo 2 SRUV

Mathayo 2:4 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Akakusanya wakuu wa makuhani wote na waandishi wa watu, akatafuta habari kwao, Kristo azaliwa wapi?

Shirikisha
Mathayo 2 SUV

Mathayo 2:4 NEN (Neno)

Herode akawaita pamoja viongozi wa makuhani na walimu wa sheria, akawauliza ni wapi ambapo Kristo angezaliwa.

Shirikisha
Mathayo 2 NEN