Mathayo 2:23
Mathayo 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)
akahamia katika mji uitwao Nazareti. Ndivyo yalivyotimia maneno yaliyonenwa kwa njia ya manabii: “Ataitwa Mnazare.”
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akaenda, akakaa katika mji ulioitwa Nazareti; ili litimie neno lililonenwa na manabii, Ataitwa Mnazareti.
Shirikisha
Soma Mathayo 2