Mathayo 2:20
Mathayo 2:20 Biblia Habari Njema (BHN)
akamwambia, “Amka! Mchukue mtoto pamoja na mama yake, urudi tena katika nchi ya Israeli, maana wale waliotaka kumuua mtoto huyo wamekwisha kufa.”
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
akasema, Inuka, umchukue mtoto na mamaye, ushike njia kwenda nchi ya Israeli; kwa maana wamekufa walioitafuta roho ya mtoto.
Shirikisha
Soma Mathayo 2