Mathayo 2:12
Mathayo 2:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Nao wakiisha kuonywa na Mungu katika ndoto wasimrudie Herode, wakaenda zao kwao kwa njia nyingine.
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu aliwaonya katika ndoto wasimrudie Herode; hivyo wakarudi makwao kwa njia nyingine.
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nao wakiisha kuonywa na Mungu katika ndoto wasimrudie Herode, wakaenda zao kwao kwa njia nyingine.
Shirikisha
Soma Mathayo 2