Mathayo 2:11
Mathayo 2:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakaingia nyumbani, wakamwona yule mtoto pamoja na Maria mama yake; wakapiga magoti, wakamsujudia. Kisha wakafungua hazina zao, wakampa zawadi: Dhahabu, ubani na manemane.
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu, uvumba na manemane.
Shirikisha
Soma Mathayo 2Mathayo 2:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Wakaingia nyumbani, wakamwona mtoto pamoja na Mariamu mamaye, wakaanguka wakamsujudia; nao walipokwisha kufungua hazina zao, wakamtolea tunu; dhahabu na uvumba na manemane.
Shirikisha
Soma Mathayo 2