Mathayo 17:9
Mathayo 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, walipokuwa wanashuka mlimani, Yesu akawaonya: “Msimwambie mtu mambo mliyoyaona mpaka Mwana wa Mtu atakapofufuliwa kutoka wafu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 17Mathayo 17:9 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, walipokuwa wanashuka mlimani, Yesu akawaonya: “Msimwambie mtu mambo mliyoyaona mpaka Mwana wa Mtu atakapofufuliwa kutoka wafu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 17Mathayo 17:9 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na walipokuwa wakishuka mlimani, Yesu aliwaagiza, akasema, Msimwambie mtu yeyote habari ya maono hayo, hadi Mwana wa Adamu atakapofufuka katika wafu.
Shirikisha
Soma Mathayo 17