Mathayo 17:27
Mathayo 17:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini kusudi tusiwakwaze, nenda ziwani ukatupe ndoana; chukua samaki wa kwanza atakayenaswa, fungua kinywa chake, na ndani utakuta fedha taslimu ya zaka. Ichukue ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.”
Shirikisha
Soma Mathayo 17Mathayo 17:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini tusije tukawakwaza, nenda baharini ukatupe ndoana, ukatwae samaki yule azukaye kwanza; na ukifumbua mdomo wake utaona shekeli; ichukue hiyo ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.
Shirikisha
Soma Mathayo 17