Mathayo 17:14 - Linganisha Matoleo Yote
Mathayo 17:14 BHN (Biblia Habari Njema)
Walipoufikia tena ule umati wa watu, mtu mmoja alimwendea Yesu, akampigia magoti
Mathayo 17:14 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema
Mathayo 17:14 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Nao walipoufikia mkutano, mtu mmoja akamjia, akampigia magoti, akisema
Mathayo 17:14 NEN (Neno)
Walipofika penye umati wa watu, mtu mmoja akamjia Yesu na kupiga magoti mbele yake, akasema