Mathayo 17:10-11 - Compare All Versions
Mathayo 17:10-11 BHN (Biblia Habari Njema)
Kisha wanafunzi wakamwuliza, “Mbona waalimu wa sheria wanasema ni lazima kwanza Elia aje?” Yesu akawajibu, “Kweli, Elia atakuja kutayarisha mambo yote.
Shirikisha
Mathayo 17 BHNMathayo 17:10-11 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza? Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote
Shirikisha
Mathayo 17 SUVMathayo 17:10-11 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Wanafunzi wake wakamwuliza, wakisema, Basi kwa nini waandishi hunena ya kwamba imempasa Eliya kuja kwanza? Naye akajibu, akawaambia, Kweli Eliya yuaja kwanza, naye atatengeneza yote
Shirikisha
Mathayo 17 SRUVMathayo 17:10-11 NEN (Neno)
Wale wanafunzi wakamuuliza, “Kwa nini basi walimu wa sheria husema kwamba ni lazima Eliya aje kwanza?” Yesu akawajibu, “Ni kweli, Eliya lazima aje kwanza, naye atatengeneza mambo yote.
Shirikisha
Mathayo 17 NEN