Mathayo 16:3
Mathayo 16:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Na alfajiri mwasema: ‘Leo hali ya hewa itakuwa ya dhoruba, maana anga ni jekundu na tena mawingu yametanda!’ Basi, nyinyi mnajua sana kusoma majira kwa kuangalia hali ya anga, lakini kutambua dalili za nyakati hizi hamjui.]
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na asubuhi, mnasema, Leo kutakuwa na dhoruba; kwa maana mbingu ni nyekundu, tena kumetanda. Enyi wanafiki, mnajua kuutambua uso wa mbingu; lakini, je! Ishara za nyakati hizi hamwezi kuzitambua?]
Shirikisha
Soma Mathayo 16