Mathayo 16:28
Mathayo 16:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Kweli nawaambieni, wako wengine papa hapa ambao hawatakufa kabla ya kumwona Mwana wa Mtu akija katika ufalme wake.”
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:28 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Amin, nawaambieni, Pana watu katika hawa wasimamao hapa, ambao hawataonja mauti kabisa, hata watakapomwona Mwana wa Adamu akija katika ufalme wake.
Shirikisha
Soma Mathayo 16