Mathayo 16:27
Mathayo 16:27 Biblia Habari Njema (BHN)
Maana, Mwana wa Mtu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika wake, na hapo ndipo atakapomlipa kila mtu kadiri ya matendo yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu Mwana wa Adamu atakuja katika utukufu wa Baba yake pamoja na malaika zake; ndipo atakapomlipa kila mtu kwa kadiri ya matendo yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 16