Mathayo 16:23 - Compare All Versions
Mathayo 16:23 BHN (Biblia Habari Njema)
Lakini Yesu akageuka, akamwambia Petro, “Ondoka mbele yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Mawazo yako si ya kimungu ila ni ya kibinadamu!”
Shirikisha
Mathayo 16 BHNMathayo 16:23 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
Shirikisha
Mathayo 16 SRUVMathayo 16:23 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Akageuka, akamwambia Petro, Nenda nyuma yangu, Shetani; u kikwazo kwangu; maana huyawazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.
Shirikisha
Mathayo 16 SUVMathayo 16:23 NEN (Neno)
Lakini Yesu akageuka na kumwambia Petro, “Rudi nyuma yangu, Shetani! Wewe ni kikwazo kwangu. Moyo wako hauwazi yaliyo ya Mungu, bali ya wanadamu.”
Shirikisha
Mathayo 16 NEN