Mathayo 16:22
Mathayo 16:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea: “Isiwe hivyo Bwana! Jambo hili halitakupata!”
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akisema, La hasha! Bwana, hayo hayatakupata.
Shirikisha
Soma Mathayo 16