Mathayo 16:12
Mathayo 16:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo wanafunzi wakafahamu kwamba aliwaambia wajihadhari siyo na chachu ya mikate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:12 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Ndipo walipofahamu ya kuwa hakuwaambia kujilinda na chachu ya mkate, bali na mafundisho ya Mafarisayo na Masadukayo.
Shirikisha
Soma Mathayo 16