Mathayo 16:11
Mathayo 16:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mbona hamwelewi ya kwamba sikuwa nikisema juu ya mikate? Jihadharini na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo!”
Shirikisha
Soma Mathayo 16Mathayo 16:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Imekuwaje hamkufahamu ya kuwa sikuwaambia kwa sababu ya mkate? Ila jilindeni na chachu ya Mafarisayo na Masadukayo.
Shirikisha
Soma Mathayo 16