Mathayo 14:35-36
Mathayo 14:35-36 Biblia Habari Njema (BHN)
Watu wa huko walipomtambua, wakaeneza habari pote katika sehemu hizo. Basi, wakamletea Yesu wagonjwa wote, wakamwomba awaruhusu waguse tu pindo la vazi lake. Nao wote waliomgusa walipona.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:35-36 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa wagonjwa; nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:35-36 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Na watu wa mahali pale walipomtambua, walituma watu kwenda nchi zile zilizo kandokando, wakamletea wote waliokuwa hawawezi; nao wakamsihi waguse hata pindo la vazi lake tu; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.
Shirikisha
Soma Mathayo 14