Mathayo 14:31
Mathayo 14:31 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo, Yesu akaunyosha mkono wake, akamshika na kumwambia, “Ewe mwenye imani haba! Kwa nini uliona shaka?”
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:31 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mara Yesu akanyosha mkono wake, akamshika, akamwambia, Ewe mwenye imani haba, mbona uliona shaka?
Shirikisha
Soma Mathayo 14