Mathayo 14:26-27
Mathayo 14:26-27 Biblia Habari Njema (BHN)
Wanafunzi wake walipomwona akitembea juu ya maji waliogopa sana, wakasema, “Ni mzimu!” Wakapiga yowe kwa hofu. Mara, Yesu akasema nao, “Tulieni, ni mimi. Msiogope!”
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:26-27 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wanafunzi walipomwona akitembea juu ya bahari, wakafadhaika, wakisema, Ni mzimu; wakapiga yowe kwa hofu. Mara Yesu alinena, akawaambia, Jipeni moyo, ni mimi; msiogope.
Shirikisha
Soma Mathayo 14