Mathayo 14:23
Mathayo 14:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Baada ya kuwaaga watu, alipanda mlimani peke yake kusali. Ilipokuwa jioni, yeye alikuwa huko peke yake
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alipokwisha kuwaaga makutano, alipanda mlimani faraghani, kwenda kuomba. Na kulipokuwa jioni, alikuwako huko peke yake.
Shirikisha
Soma Mathayo 14