Mathayo 14:15
Mathayo 14:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea wakamwambia, “Mahali hapa ni nyikani, na saa za mchana zimepita. Basi, uwaage watu ili waende vijijini wakajinunulie chakula.”
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Hata kulipokuwa jioni, wanafunzi wake walimwendea, wakasema, Mahali hapa ni nyika tupu, na saa imekwisha pita; uwaage makutano, waende zao vijijini, wakajinunulie vyakula.
Shirikisha
Soma Mathayo 14