Mathayo 14:13
Mathayo 14:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu alipopata habari hiyo, aliondoka mahali pale kwa mashua, akaenda mahali pa faragha peke yake. Lakini watu walipata habari, wakamfuata kwa miguu toka mijini.
Shirikisha
Soma Mathayo 14Mathayo 14:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye Yesu aliposikia hayo, aliondoka huko katika mashua, akaenda mahali pasipo watu, faraghani. Na makutano waliposikia, walimfuata kwa miguu kutoka mijini mwao.
Shirikisha
Soma Mathayo 14