Mathayo 13:6
Mathayo 13:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Jua lilipochomoza, ziliteketea; na kwa kuwa mizizi yake haikuwa na nguvu, zikanyauka.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini jua lilipozuka ziliungua; na kwa kuwa hazina mizizi zikanyauka.
Shirikisha
Soma Mathayo 13