Mathayo 13:45-46
Mathayo 13:45-46 Biblia Habari Njema (BHN)
“Tena, ufalme wa mbinguni unafanana na mfanyabiashara mmoja mwenye kutafuta lulu nzuri. Alipopata lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda, akauza yote aliyokuwa nayo, akainunua lulu ile.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:45-46 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Tena ufalme wa mbinguni umefanana na mfanya biashara, mwenye kutafuta lulu nzuri; naye alipoona lulu moja ya thamani kubwa, alikwenda akauza alivyo navyo vyote, akainunua.
Shirikisha
Soma Mathayo 13