Mathayo 13:35
Mathayo 13:35 Biblia Habari Njema (BHN)
ili jambo lililonenwa na nabii litimie: “Nitasema nao kwa mifano; nitafichua yaliyofichika tangu kuumbwa ulimwengu.”
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:35 Swahili Revised Union Version (SRUV)
ili litimie neno lililonenwa na nabii, akisema, Nitafumbua kinywa changu kwa mifano, Nitayatamka yaliyositirika tangu kuumbwa kwa ulimwengu.
Shirikisha
Soma Mathayo 13