Mathayo 13:33
Mathayo 13:33 Biblia Habari Njema (BHN)
Yesu akawaambia mfano mwingine: “Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyotwaa mama mmoja, akaichanganya na unga madebe mawili na nusu, hata unga wote ukaumuka.”
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:33 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akawaambia mfano mwingine; Ufalme wa mbinguni umefanana na chachu aliyoitwaa mwanamke, akaisitiri ndani ya pishi tatu za unga, hata ukachachwa wote pia.
Shirikisha
Soma Mathayo 13