Mathayo 13:21
Mathayo 13:21 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini halishiki na mizizi ndani yake; huendelea kulizingatia neno hilo kwa kitambo tu, na wakati taabu au udhalimu vinapotokea kwa sababu ya neno hilo, anakata tamaa mara.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:21 Swahili Revised Union Version (SRUV)
lakini hana mizizi ndani yake, bali hudumu kwa muda; ikitukia dhiki au udhia kwa ajili ya lile neno, mara huchukizwa.
Shirikisha
Soma Mathayo 13