Mathayo 13:13
Mathayo 13:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndio maana ninasema nao kwa mifano, kwa sababu wanatazama lakini hawaoni, wanasikiliza lakini hawasikii, wala hawaelewi.
Shirikisha
Soma Mathayo 13Mathayo 13:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa sababu hii nasema nao kwa mifano; kwa kuwa wakitazama hawaoni, na wakisikia hawasikii, wala kuelewa.
Shirikisha
Soma Mathayo 13