Luka 3:3
Luka 3:3 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Yohane akaenda katika sehemu zote zilizopakana na mto Yordani. Akawa anahubiri watu watubu na kubatizwa ili Mungu awaondolee dhambi.
Shirikisha
Soma Luka 3Luka 3:3 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akafika katika nchi yote iliyo karibu na Yordani, akihubiri ubatizo wa toba iletayo ondoleo la dhambi
Shirikisha
Soma Luka 3