Luka 3:19-20
Luka 3:19-20 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Yohane alimgombeza mtawala Herode, kwa sababu alikuwa amemchukua Herodia mke wa ndugu yake, na kumfanya mke wake; na pia kwa ajili ya mabaya yote aliyokuwa amefanya. Kisha Herode akazidisha ubaya wake kwa kumtia Yohane gerezani.
Shirikisha
Soma Luka 3Luka 3:19-20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini mfalme Herode alipokaripiwa na yeye kwa ajili ya Herodia, mke wa nduguye, na maovu yote aliyoyafanya Herode, aliongeza na hili juu ya yote, alimfunga Yohana gerezani.
Shirikisha
Soma Luka 3