Luka 2:51-52
Luka 2:51-52 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, akarudi pamoja nao hadi Nazareti, akawa anawatii. Mama yake akaweka mambo hayo yote moyoni mwake. Naye Yesu akaendelea kukua katika hekima na kimo; akazidi kupendwa na Mungu na watu.
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:51-52 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akashuka pamoja nao mpaka Nazareti, naye alikuwa akiwatii; na mamaye aliyaweka hayo yote moyoni mwake. Naye Yesu akazidi kuendelea katika hekima na kimo, akimpendeza Mungu na wanadamu.
Shirikisha
Soma Luka 2