Luka 2:34
Luka 2:34 Biblia Habari Njema (BHN)
Simeoni akawabariki, akamwambia Maria mama yake, “Mtoto huyu atakuwa sababu ya kupotea na kuokoka kwa watu wengi katika Israeli. Naye atakuwa ishara itakayopingwa na watu
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:34 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Simeoni akawabariki, akamwambia Mariamu mama yake, Tazama, huyu amewekwa kwa kuanguka na kuinuka wengi walio katika Israeli, na kuwa ishara itakayonenewa.
Shirikisha
Soma Luka 2