Luka 2:10-11
Luka 2:10-11 Biblia Habari Njema (BHN)
Malaika akawaambia, “Msiogope! Nimewaleteeni habari njema ya furaha kubwa itakayowapata watu wote. Kwa maana, leo hii katika mji wa Daudi, amezaliwa Mwokozi kwa ajili yenu, ndiye Kristo Bwana.
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:10-11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Malaika akawaambia, Msiogope; kwa kuwa mimi ninawaletea habari njema ya furaha kuu itakayokuwa kwa watu wote; maana leo katika mji wa Daudi amezaliwa, kwa ajili yenu, Mwokozi, ndiye Kristo Bwana.
Shirikisha
Soma Luka 2Luka 2:10-11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)

Soma Luka 2