Luka 16:17-18
Luka 16:17-18 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini ni rahisi zaidi mbingu na dunia kupita, kuliko hata herufi moja ya sheria kufutwa. “Yeyote anayempa mkewe talaka na kuoa mwingine, anazini; na yeyote anayemwoa mwanamke aliyepewa talaka, anazini.
Shirikisha
Soma Luka 16Luka 16:17-18 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Lakini ni rahisi zaidi mbingu na nchi vitoweke, kuliko itanguke nukta moja ya torati. Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.
Shirikisha
Soma Luka 16