Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Luka 16:17-18

Luka 16:17-18 SRUV

Lakini ni rahisi zaidi mbingu na nchi vitoweke, kuliko itanguke nukta moja ya torati. Kila amwachaye mkewe na kumwoa mke mwingine azini; naye amwoaye yeye aliyeachwa na mumewe azini.

Soma Luka 16

Mipango ya Kusoma Bila Malipo na Ibada zinazohusiana na Luka 16:17-18

YouVersion hutumia vidakuzi kubinafsisha matumizi yako. Kwa kutumia tovuti yetu, unakubali matumizi yetu ya vidakuzi kama ilivyoelezwa katika Sera yetu ya Faragha