Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Walawi 7:21 - Linganisha Matoleo Yote

Walawi 7:21 BHN (Biblia Habari Njema)

Mtu yeyote anayegusa kitu chochote kilicho najisi, au kitu najisi cha mtu, au mnyama aliye najisi, au kitu chochote najisi ambacho ni chukizo, akila nyama ya sadaka ya amani aliyotolewa Mwenyezi-Mungu, mtu huyo atatengwa na watu wake.”

Shirikisha
Walawi 7 BHN

Walawi 7:21 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Kisha mtu awaye yote atakapogusa kitu cho chote kilicho najisi, uchafu wa binadamu, au mnyama aliye najisi, au machukizo yo yote yaliyo najisi, kisha akala nyama ya dhabihu ya sadaka za amani, ambazo ni za BWANA, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake.

Shirikisha
Walawi 7 SUV

Walawi 7:21 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Kisha mtu awaye yote atakapogusa kitu chochote kilicho najisi, uchafu wa binadamu, au mnyama aliye najisi, au machukizo yoyote yaliyo najisi, kisha akala nyama ya dhabihu ya sadaka za amani, ambazo ni za BWANA, mtu huyo atakatiliwa mbali na watu wake.

Shirikisha
Walawi 7 SRUV

Walawi 7:21 NEN (Neno)

Kama mtu yeyote akigusa kitu kilicho najisi, iwe ni uchafu wa mwanadamu, au mnyama najisi, au kitu chochote kilicho najisi, kitu cha kuchukiza, kisha akala nyama yoyote ya sadaka ya amani iliyotolewa kwa BWANA, mtu huyo ni lazima akatiliwe mbali na watu wake.’ ”

Shirikisha
Walawi 7 NEN