Walawi 17:7
Walawi 17:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo Waisraeli watakoma kabisa kutambikia yale majini, jambo ambalo limewafanya wakose uaminifu kwangu. Sharti hili ni la kudumu milele katika vizazi vyao vyote.
Shirikisha
Soma Walawi 17Walawi 17:7 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Wala hawatatoa tena sadaka zao kwa wale majini, ambao huwafuata ili wafanye uasherati nao. Sheria hii itakuwa sheria ya milele kwao, kizazi baada ya kizazi.
Shirikisha
Soma Walawi 17