Walawi 17:4
Walawi 17:4 Biblia Habari Njema (BHN)
badala ya kumleta mnyama huyo kwenye mlango wa hema la mkutano ili kumtolea Mwenyezi-Mungu mbele ya maskani yake takatifu, mtu huyo atakuwa na hatia ya kumwaga damu; amemwaga damu na atatengwa na watu wake.
Shirikisha
Soma Walawi 17Walawi 17:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
wala hamleti mlangoni pa hema ya kukutania, kama matoleo kwa BWANA mbele ya hema ya BWANA; mtu huyo atahesabiwa kuwa ana hatia ya damu; amemwaga damu; na atatupiliwa mbali na watu wake
Shirikisha
Soma Walawi 17