Walawi 17:13
Walawi 17:13 Neno: Bibilia Takatifu 2025 (NENO)
“ ‘Mwisraeli yeyote au mgeni anayeishi miongoni mwenu ambaye atamwinda mnyama au ndege anayeruhusiwa kuliwa ni lazima aimwage damu na kuifunika kwa udongo
Shirikisha
Soma Walawi 17Walawi 17:13 Biblia Habari Njema (BHN)
“Mtu yeyote miongoni mwa Waisraeli au mgeni anayekaa miongoni mwao akienda kuwinda mnyama au ndege, ni lazima aimwage damu chini na kuifunika kwa udongo.
Shirikisha
Soma Walawi 17Walawi 17:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mtu yeyote aliye wa wana wa Israeli, au wa hao wageni wakaao kati yenu, ambaye amemshika mnyama, au ndege ambaye huliwa, katika kuwinda kwake; atamwaga damu yake, na kuifunikia mchangani.
Shirikisha
Soma Walawi 17