Yohane 7:4
Yohane 7:4 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu hafanyi mambo kwa siri kama anataka kujulikana kwa watu. Maadamu unafanya mambo haya, basi, jidhihirishe kwa ulimwengu.”
Shirikisha
Soma Yohane 7Yohane 7:4 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Kwa maana hakuna mtu afanyaye mambo kwa siri, naye yeye mwenyewe anataka kujulikana. Ukifanya mambo haya, basi jidhihirishe kwa ulimwengu.
Shirikisha
Soma Yohane 7